Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
it is desemba today leta tena mrejeshoNashukuru biashara inakwenda vizuri sana kwasababu kijana niliyempa anajitambua na anajua kazi yake anafanya service kila week kwa hesabu yake na anafuata sheria zote za usalama barabarani na chombo kina vibali na document zote kwa mujibu wa sheria.Ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
Habar wakuu,na mm nmetamani kuanza hii biashara ya bodaboda naomba nitumie sample ya mkataba.
sirloom2010@yahoo.com
Mkuu nifowadie PM ebu hilo tirio
na Mimi naomba pia pm ninashida nao!!Aisee ebu nisaidie na mm copy PM. Ninahitaj hili tirio
kiongozi nipe mwongozo ni documents zipi zinahitajika na gharama zake....nitashukuru kiongozi...napenda kuanzia biashara hii!!Nashukuru biashara inakwenda vizuri sana kwasababu kijana niliyempa anajitambua na anajua kazi yake anafanya service kila week kwa hesabu yake na anafuata sheria zote za usalama barabarani na chombo kina vibali na document zote kwa mujibu wa sheria.Ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
mkuu nimekutumia sampe PM. angalia kama inaweza kukufaa
Habar best. Namimi nina changamoto ya kuandika mkataba wa kumkabidhi boda boda plz naomba sample niipitie nahisi kuna jambo la kujifunza
Cheki PM yako mkuu
Tunashukuru pia!
Watu wengi ambao wameona faida za bodaboda ni wale walioamua kuendesha wenyewe
Cheki PM yako mkuu
Wadau habarini,
Kuna ndugu anahitaji kununua pikipiki kwa ajili ya biashara na ni mara ya kwanza kufanya hiyo biashara lakini katika uchunguzi wake amegundua kuna aina tatu ndani ya biashara ya bodaboda
Kwanza ni mwenye bodaboda kuendesha mwenyewe pikipiki kibiashara
Pili kuna mkataba wa mwenye pikipiki na dereva wa bodaboda kwa kukusanya mauzo kwa wiki na dereva kumpa mwenye pikipiki bila muda maalum kama vile daladala kupeleka hesabu kwa mmiliki
Tatu kuna mkataba wa muda maalum wa malipo kwa mwenye pikipiki na dereva na baada ya muda huo wa malipo kukamilika then pikipiki unabadilishwa umiliki na kukabidhiwa dereva moj kwa moja
Sasa maombi kwenu ni kupata mkataba huu wa tatu yaani muda maalumu wa malipo then pikipiki inabadilishwa umiliki wake baada ya muda huo
Nashukuru kwa ushirikiano wenu wadau
Inategemea na uliye mpa mbona siku hizi ndio njia inayotumika sana!!kuliko ile ya hesabu kila siku?kwa mfano kwa dar
kwa hili sio kweli kwani ndio njia bora inayotumika sana siku hizi!!mfano dar kila siku anakuletea shilingi 10,000!!kwa muda wa miezi kumi,pikipiki inakuwa yake na lazima aitunze kwani anajua baadaye itakuwa mali yake!!
Nashukuru biashara inakwenda vizuri sana kwasababu kijana niliyempa anajitambua na anajua kazi yake anafanya service kila week kwa hesabu yake na anafuata sheria zote za usalama barabarani na chombo kina vibali na document zote kwa mujibu wa sheria.Ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
Nitamuomba boss anifunze [emoji4][emoji4]alafu my son..kama hujui kuendesha hiz mambo fikiria kujifunza..i mean boda na gari[emoji4][emoji4]
Nitamuomba boss anifunze [emoji4][emoji4]
Maana ndinga anazo [emoji4][emoji4]
Namimi naomba mkuuCheki pm mkuu