Msaada tutani: Mwenye mkataba wa biashara ya Bodaboda

Cheki pm mkuu
Mkuu watu wengi sana wamekuomba huo mkataba PM, kwa mwitikio wa uhitaji wao ni kielelezo kuwa wapo wengi zaidi ya hao ambao wanauhitaji.

Ungeuweka humu public ungesaidia wengi sana, nakuomba uuweke humu ili watu wore wenye uhitaji wafaidi
 
Wapendwa tuwekeeni nasi maana ndo tunaanza kujitafuta
 
Mrejesho wa jinsi biashara inavokwenda na changamoto zake. Huenda changamoto utakazokutana nazo zikamsaidia mtu mwingine anaeanza au anaefanya biashara hii
Kiongozi, japo ni muda mrefu kidogo umepita tangu UZI huu uwe hewani, ila nitshukuru sana kiongozi kama utanifowrdia na mimi huo mkataba. Asante
 
Kiongozi, japo ni muda mrefu kidogo umepita tangu UZI huu uwe hewani, ila nitshukuru sana kiongozi kama utanifowrdia na mimi huo mkataba. Asante

Kwema viongozi? na mimi nikiupata huo mkataba nitashukuru.
 
Kwa hesabu hii uko sahihi kabisa ila nadhan wengi hutimia hiyo ya mkataba kama njia ya kumlazimisha dereva kutunza chombo na kupunguza vipengere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…