fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 538
- 562
Samahani mkuu mi nipo dar mkuuMbona ujasema wewe mwenyewe uko wapi??
Vinginevyo agiza toka japan hizo gari mkuu
Nenda jangwani pale mkuu utapata hizo huduma.Samahani mkuu mi nipo dar mkuu
Asante mkuuNenda jangwani pale mkuu utapata hizo huduma.
Nilituma mzigo majuzi Kahama hawa jamaa wapo Kariakoo Mtaa wa Amani na Chui jaribu kuwasiliana nao kupitia hizo # kwenye receipt kama watakuwa na msaada kwenye issue yako lah imeshindikana wapo wengine nao wapo Kariakoo wanajiita Shylimo Transporter hawa ni uhakika mzigo unafika Shinyanga but mawasiliano yao sina.Samahani mkuu mi nipo dar mkuu