Tofauti yangu nami ni kuwa Mimi huwa nashindwa kuongea kwenye matukio rasmi, ila kwenye vikao vya chini ya miti mtaani vya kupandishiana hoja bila kuzingatia protocol yoyote wala formality, hapo watasubiri.Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo
1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu
2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani
3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda mrefu mara nyingi natamani niwe peke yangu tu
4. Nashindwa kufanya maamuzi sahihi hata kwa jambo dogo
5. Nashindwa kunusa hatari iliyopo mbele yangu
6. Nashindwa kuanzisha mada
7. Nimepoteza morali ya ujuzi niliosomea na nimekuwa mweupe kichwani
8. Sikubaliki kwa ninayoyafanya
NB: Unaruhusiwa kutumia hata chatgpt
Tofauti yako nami ni kuwa Mimi huwa nashindwa kuongea kwenye matukio rasmi, ila kwenye vikao vya chini ya miti mtaani vya kupandishiana hoja bila kuzingatia protocol yoyote wala formality, hapo watasubiriNatumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo
1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu
2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani
3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda mrefu mara nyingi natamani niwe peke yangu tu
4. Nashindwa kufanya maamuzi sahihi hata kwa jambo dogo
5. Nashindwa kunusa hatari iliyopo mbele yangu
6. Nashindwa kuanzisha mada
7. Nimepoteza morali ya ujuzi niliosomea na nimekuwa mweupe kichwani
8. Sikubaliki kwa ninayoyafanya
NB: Unaruhusiwa kutumia hata chatgpt
Karibu tupokee uponyaji hapa jukwaani maana kuna madini ya kutosha hadi kichwa kinataka kupasukaTofauti yangu nami ni kuwa Mimi huwa nashindwa kuongea kwenye matukio rasmi, ila kwenye vikao vya chini ya miti mtaani vya kupandishiana hoja bila kuzingatia protocol yoyote wala formality, hapo watasubiri.
Mtoa maada umewahi kupiga nyeto sana huko nyuma?Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo
1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu
2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani
3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda mrefu mara nyingi natamani niwe peke yangu tu
4. Nashindwa kufanya maamuzi sahihi hata kwa jambo dogo
5. Nashindwa kunusa hatari iliyopo mbele yangu
6. Nashindwa kuanzisha mada
7. Nimepoteza morali ya ujuzi niliosomea na nimekuwa mweupe kichwani
8. Sikubaliki kwa ninayoyafanya
NB: Unaruhusiwa kutumia hata chatgpt
Binafsi nafurahia nilivyo, na humchukia mtu anayenilazimisha Kuishi tofauti na sasa.Karibu tupokee uponyaji hapa jukwaani maana kuna madini ya kutosha hadi kichwa kinataka kupasuka
🤣🤣🤣🤣 huyu na Holoholo-Baba Kijacho hawana tofauti.Mala single mom anyway yetu macho li
Personal attacks huwa sizipendi kwani hujui Jf ndo jibu la mwisho🤣🤣🤣🤣 huyu na Holoholo-Baba Kijacho hawana tofauti.
Daah! Haya maelezo yamekaa kishoga sanaMimi ni mwembqmbq halafu pia ni superwhite tall pia ni baby face just to mention a few
Asante mkuuIngia YouTube tafuta semina mbalimbali za dr Kweka .,Utagundua shida yako ilipoanzia kupitia semina utapata abcd za kuku sogeza mahali.
AsantePole
Hii stupid things tunaita u introvert sijui,ni ujinga sana ata mimi back in day's Nilikuwa hivyo,lakini muda uliozidi kuenda nili switch lane.
Funguka kakaHii stupid things tunaita u introvert sijui,ni ujinga sana ata mimi back in day's Nilikuwa hivyo,lakini muda uliozidi kuenda nili switch lane.