Msaada tutani: Nashindwa kuchangamana na watu

Funguka kaka
Ata kama hujisikii kuongea na majirani zako,basi kama una usafiri unaenda mbali na kwako,unakutana na watu wapya unaweza kuchagua personality yoyote unayotaka.

Sio kukaa ndani kama panga au jembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…