kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Kama kichwa kinavyojieleza, nimepata dharura leo nahitaji mkopo wa faster kiasi cha laki nne, ni taasisi ipi wanaweza kutoa mkopo kwa riba nzuri, dhamana ipo kadri ya mahitaji ya taasisi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks ila hawa leo hawafanyi kazi
Hii Mkuu si hadi uwe na account huko?Amana Bank
Niko Dar, ndani ya week 3Uko wapi ?
Una mpango wa kulipa baada ya muda gani ?