Du uva nkinga nilinkinga lakin redio jangu kunkwimba kasongi itindete lukosi? Kaka mda wowote unapoteza mke,maana hawa watu ni soo kwa ushirikina nenda k/koo uwaone na mighorofa yao,washaua watu sana hawa kwa kutoa kafara(Ikemefuna)
Akhsante bro,ila nilitaka kujua tamadun,au hata mahari zao,ni ng'ombe,anayejua tafadhar
Nimemuuliza mda mrefu,bado ajaniambia,huwa ananiambia bado sijamuuliza baba,coz baba yake ndo mkinga,mama yake n mnyakyusa,mwezi wa pili nataka kupereka mahari
Du uva nkinga nilinkinga lakin redio jangu kunkwimba kasongi itindete lukosi? Kaka mda wowote unapoteza mke,maana hawa watu ni soo kwa ushirikina nenda k/koo uwaone na mighorofa yao,washaua watu sana hawa kwa kutoa kafara(Ikemefuna)
Akhsante bro,ila nilitaka kujua tamadun,au hata mahari zao,ni ng'ombe,anayejua tafadhar
Kama ni brideprice haitofika 1.5m coz ana nyuzi(degree) hayo ya ng'ombe usiogope hata ukitajiwa mia wewe utacovert kwa Tsh let's useme kila m1 me ntalipa buku 10 then total 1m na mazagazaga mengine kilo 5,mkaja wa babu,bibi,kitambaa,hela ya barua ndani inakua hata na paluu(pauni aka buku 20) kusoma hakumuondolei mtu ushirikina kama hauamini ikifika kipindi cha uchaguzi angalia ma dr dr na ma prof wanavyoenda kwa waganga
Tafuta Mkinga (Mtu wa makamo) akupe kiundani mila na desturi zao zinasemaje kuhusu hili suala. Kama utashindwa kumpata mkinga basi tafuta watani wa wakinga, (wahehe, wangoni, wanyakyusa) pia wanaweza kujua mila na desturi za wakinga.
Ila ukweli ni kwamba 85% ya wakinga wana amini sana ushirikina, lakini hili si la kuangalia wala kukuvunja moyo. Kila kabila kuna mambo kama haya siku hizi (mpaka wachaga nao ni wachawi).
Huyo mchumba ni "F" aliyekuwa mzumbe hivi karibuni?.
Ila huyu kwao wameelimika,wako sita wote graduate,baba yao alikua mtumish,amestaafu,mama bado n mtumishi,wote wako wanapiga mzigo,vp hapo iman zitkuwepo
Poleee eti sisi wakinga washirikina hakuna kitu kama hiyooo, tunajua kutafuta pesa vevee no ushirikina...!!
lugha gani umeandikaga hapo wewe mnyalu bila shaka ga ga ga nyingi.<niliowa 2005>nilioaga.