trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Kweli mkuu,shule haiondoi ushirikina wa mtu,ila nashukuru kwa kuniashauri
Mi nilioaga mkinga 2005..
Funguka mkuu, kwa nini unafunika kombe??Bwa-mdogo hayo aliyokueleza KINGKONG yapo yanasemwa, na mie nnayo ya ziada lakini nafunika kombe! Kama waoa oa usidodosedodose customs of that tribe!
wakinga sio washirikina bhanaaaaaa
Jamani mi ni kijana ninamiaka 30(umri)nimebahatika kupata mchumba wa kikinga,nategemea kumuoa mwakani,katikati ya mwaka,sasa naomba mniambie tamaduni zao kuhusu mahari,huwa wanahitaji nin(mnyama nk)na tamaduni zingine,ili nijipange kabisa,ila huyo bint ni mkinga(wazazi wake wamelowea mbeya) mim mwanaume ni YAHO,
Poleee eti sisi wakinga washirikina hakuna kitu kama hiyooo, tunajua kutafuta pesa vevee no ushirikina...!!
Nimemuuliza mda mrefu,bado ajaniambia,huwa ananiambia bado sijamuuliza baba,coz baba yake ndo mkinga,mama yake n mnyakyusa,mwezi wa pili nataka kupereka mahari
Ushirikina upo kila sehemu, kumbe usiogope, songa mbele, kamata Mkinga huyo, ila nakushauri ujiandae maana wao shemeji zako wa kike ni mali yako pia, hakuna mwiko.
sifa yao kubwa ni mawitch
Wakinga watani zangu. Dogo unajiandalia kuwa msukule pole sana. Umepotea njia au sababu umeona wanawake wa kikinga wapole?
Lazima utageuzwa msukule wewe.
Du uva nkinga nilinkinga lakin redio jangu kunkwimba kasongi itindete lukosi? Kaka mda wowote unapoteza mke,maana hawa watu ni soo kwa ushirikina nenda k/koo uwaone na mighorofa yao,washaua watu sana hawa kwa kutoa kafara(Ikemefuna)