Msaada tutani ninamchumba wa kikinga



Unataka badilisha nyekundu kua njano? Haaa wakinga ni washirikina full stop
 
watu wengi wanazungumzia kuwa wakinga ni wachawi,lakini mkuu naomba ujue wakinga waliopo mijini wako sehemu mbili. Kuna wafanyabiashara na wafanyakazi za kitaaluma. Kwa wafanyabiasha siwezi kubisha wapo wanaotoa na kujitoa kafara kama makabila mengine yanavyofanya. Lakini kumbuka mkinga ni mbanaji sana kwenye matumizi hivyo hufanikiwa mapema tofau na wengine wanaouza 100000 aafu anakunywa bia za elfu 80. Kwa wale waliosoma shule (kama ulivyosema) hakuna utoaji wa kafara hata kidogo kwa asilimia zote. Ndugu umepata mke mwema,mstaarabu na mwenye uchu na maendeleo! Shida ni kwamba wakinga wengi walichepukia kwenye biashara ndo maana wengi wanawafahamu hivyo. Siku hizi wapo wanaofanya biashara kisomi!
 
Wakinga watani zangu. Dogo unajiandalia kuwa msukule pole sana. Umepotea njia au sababu umeona wanawake wa kikinga wapole?

damu ya mtu baki itakuletea umaskini! Uliza waliooa huko wanavyopata raha. Hawa sio wale wa kupenda kumiliki mali au kugawana mkichuma mali ya kutosha.
 
Unataka badilisha nyekundu kua njano? Haaa wakinga ni washirikina full stop

ulishawahi sikia makete mtu ameuawa kwa tuhuma za ushirikina? Mbona tunasikia tuhuma hizi kila kona ya tz. Ogopa sana mtu anakuroga ukijenga nyumba ya bati kuliko anayelala chini na kukuletea huduma karibu kwa bei rahisi.
 
Ninachojua mimi wakinga bahili kinoma,anaweza kuwa na million 50 lakini akawa anashindia bisi na maji tu,kwa hiyo uwe tayari wewe na watoto mtakaozaa kushindia bisi,safari njema.
 
Ninachojua mimi wakinga bahili kinoma,anaweza kuwa na million 50 lakini akawa anashindia bisi na maji tu,kwa hiyo uwe tayari wewe na watoto mtakaozaa kushindia bisi,safari njema.

mtakula chakula cha mtanzania wa kawaida, ni walezi wazuri wa watoto. Hata kama hakuna hela ya kutosha atahakikisha watoto wamekula kwanza. Kumbuka pia kufanikiwa kimaisha ni kujipanga!ni wagumu wa kutoa hela kwa ajili ya anasa.
 
tatizo watu hawapendi maendeleo mtu asinunue eneo kariakoo kidogo 2 eti mchawi ulitaka ww ndio ununue au?wakinga n wachakarikaji n kama wapo wanaotumia uchawi bs n kidogo sna ww chukua jiko kk!ili kujihakikishia hili jihakikishie know ur fiancee family background utapata clue 2 km n washirikina au la
 
sio kila damu ni ya biashara. Anajua kuwa kuna hayo mambo ndo maana anaulizia mahari.

Kweli,toka niko mdogo,najua kuwa jamaa(wakinga)wana iman hiyo,ila la uchawi nimelifanyia kazi,yupo safi,nimewatazama wote ktk familia yao,ila napokea ushauri ili kuwa imara zaid ktk maisha yangu ya ndoa,ili niishi kwa tahadhari
 

Ahsante mkuu,kwa ushahuri,kweli kwao wote n watumishi,serikalin na private
 

Akhsante kwa ushahuri
 

Hajanishawishi,tulijadiliana kuwa tuunganishe nguvu,ili tuwe na familia moja,tukakubaliana,ndo nafanya utafiti ili kuleta uimara
 
Nashukuru nyote mnao nipa maoni,nitachukua za mbayuwayu na nitachanganya na zangu.
 
Umeliwa, kuna Kidume kingine kishapewa full detail

Bado haijafikia huko,sisi kila mtu yupo huru,mtu hakiona huu mkataba unakula kwake,yupo tayali kujiondoa
 
Hakuna cha ushirikina wala nini mimi nijirani zangu na nimeolea huko nduhu shida vava wewe beba mzigo kilichopo ni wajasiliamali hawataki mwanaume mzembe mzembe eti lazima uonyeshe juhudi za kutafuta maendeleo eti.
 
Bado haijafikia huko,sisi kila mtu yupo huru,mtu hakiona huu mkataba unakula kwake,yupo tayali kujiondoa
\

Hapa umesema kiume.

Karibu kwetu Makete shemeji. Makete ni wilaya ya kazi, hakuna mtu lege lege kule, kuanzia mtoto hadi mzee. Mkuu, kila jamii ina madhaifu yake kwa kiwango fulani.
 

Nashukuru,umenifungua vizuri
 
\

Hapa umesema kiume.

Karibu kwetu Makete shemeji. Makete ni wilaya ya kazi, hakuna mtu lege lege kule, kuanzia mtoto hadi mzee. Mkuu, kila jamii ina madhaifu yake kwa kiwango fulani.

asante mkuu,nipo ndani ya mwafrika, usungilo naenda kula khebulangete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…