Msaada Tutani: Nini kazi ya mate haswaaa?

Baba Watoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
393
Reaction score
277
Salaam Wanajamvi,
Kwa sisi ambao tumecheza chandimu hadi kufikia gozi enzi hizo mwenye mpira hafanyiwi sub. Leo nimekaa nimewaza kwa kina sana, nadhani hali ya mvua pia ya Jiji la Dar es Salaam na ugeni wenyeji umechangia. Zamani kipa akitaka adake mpira hasa hasa kwenye penalty anatemea mate kwenye mikono au hata gloves hii nimeona hata kwenye mechi kubwa kubwa baadhi ya makipa hufanya hivi.

Lakini pia ukitaka kutunga uzi kwenye sindano ili ukae vizuri na kunyooka unafanya kulamba ncha yake. Kwenye masuala ya kutenda haki na kutimiza wajibu wa ndoa ili vikojoleo vipite kwa urahisi unapaka mate, pamoja na uzee wangu huu napata sintofahamu kidogo ina maana mate yanakua yanajua wapi yanahitajika kuteleza na wapi kukamata?
Naomba kuwasilisha.

buji njoo huku
 
[emoji444]Weka mate niteleze [emoji445]Kama nyoka pangoni [emoji450]- sielewi.
 
anyways kazi ya mate ni kupiga deki
 
Mate pia ni mojawapo ya digestive juices kwa ajili ya kumeng'enya chakula cha wanga
 
Salaam Wanajamvi,
Kwa sisi ambao tumecheza chandimu hadi kufikia gozi enzi hizo mwenye mpira hafanyiwi sub. Leo nimekaa nimewaza kwa kina sana, nadhani hali ya mvua pia ya Jiji la Dar es Salaam na ugeni wenyeji umechangia. Zamani kipa akitaka adake mpira hasa hasa kwenye penalty anatemea mate kwenye mikono au hata gloves hii nimeona hata kwenye mechi kubwa kubwa baadhi ya makipa hufanya hivi.

Lakini pia ukitaka kutunga uzi kwenye sindano ili ukae vizuri na kunyooka unafanya kulamba ncha yake. Kwenye masuala ya kutenda haki na kutimiza wajibu wa ndoa ili vikojoleo vipite kwa urahisi unapaka mate, pamoja na uzee wangu huu napata sintofahamu kidogo ina maana mate yanakua yanajua wapi yanahitajika kuteleza na wapi kukamata?
Naomba kuwasilisha.

buji njoo huku
KULA denda
 
Back
Top Bottom