Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,496 Jan 12, 2013 #1 Wana JF naomba ushauri..Nimehitimu kidato cha nne nikapata Div 4 ya point 28,Nahitaji kujiunga na chuo ni faculty gani iko kwenye soko sana ambayo nikisoma haitanisumbua kupata ajira. KUACHA UALIMU. Nategemea ushauri mzuri wana JF.
Wana JF naomba ushauri..Nimehitimu kidato cha nne nikapata Div 4 ya point 28,Nahitaji kujiunga na chuo ni faculty gani iko kwenye soko sana ambayo nikisoma haitanisumbua kupata ajira. KUACHA UALIMU. Nategemea ushauri mzuri wana JF.