Msaada Tutani: Rafiki anatafuta mafundi wazuri wa kuunga Rim iliyochanika.

Msaada Tutani: Rafiki anatafuta mafundi wazuri wa kuunga Rim iliyochanika.

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,327
Reaction score
4,624
Jamaa ana Rim moja imechanika (inch 22) wakati vijana wa NIT wakiipima gari yake. Kaunga mkoani mara 3, lakini kila akiunga huwa inatoa upepo kidogokidogo. Anatafuta wataalamu wa kuunga rim waliopo Dar.
 
Sasa mkuu si ujichange uchukue kitu kipya
 
Kama ni rim ya chuma inawezekana ila kama ni aluminium anunue tu mpya haiwezekani kabisa..
 
Inawezekana mbn kuunga na ikakaa muda mrefu ila barabara asipite mbovu, nenda tegeta magereji kuna jamaa anaunga vzr tu
 
Ha
Kama ni rim ya chuma inawezekana ila kama ni aluminium anunue tu mpya haiwezekani kabisa..
hahahahaha eti haiwezekani wabongo bwana..ujuaji mwingii au mnataka mpaka tuwaletee video za wazungu wakichomea hizo rim ndio mtaamini???..

Sema wanao mchomea sio wataaram sana mjini japa hakuna kinachoshindikana
 
Inawezekana bana,ubovu wabongo huwa hawapendi kujishugulisha,pesa ziko wapi za kununua kila kitu bhana,kuna vingine ni vyakufanyia marekebisho tu....nakumbuka mimi nilichana tairi yangu ilikua mpya kabisa,nikaenda kwa jamaa wa pancha wakasema haiwezekani mpaka ninunue jipya,nikaenda sehemu nyingine kuna namna wanaunga tairi kwa mashine,nikaishia kutoa elfu nane tu naendelea kutumia tairi saa hizi nina mwezi kama wa saba wala halijawahi sumbua,nisingeshituka ilikua ninunue tairi mpya!
 
Back
Top Bottom