tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
hahahahaha eti haiwezekani wabongo bwana..ujuaji mwingii au mnataka mpaka tuwaletee video za wazungu wakichomea hizo rim ndio mtaamini???..Kama ni rim ya chuma inawezekana ila kama ni aluminium anunue tu mpya haiwezekani kabisa..