M magneto Member Joined Jul 23, 2008 Posts 61 Reaction score 20 Nov 28, 2016 #1 habari waungwana natafuta tyre za goodyear size 265/50r20 kwa maana ya kwamba nahitaji kununua. naomba kujua zinapatikana wapi na shiling ngapi natumaini nitapata msaada hapa
habari waungwana natafuta tyre za goodyear size 265/50r20 kwa maana ya kwamba nahitaji kununua. naomba kujua zinapatikana wapi na shiling ngapi natumaini nitapata msaada hapa
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,793 Nov 28, 2016 #2 Khaa! Hiyo R20 unafunga kwenye gari gani?