Msaada tutani Viazi kutoka Njombe na Mbeya

Ismoo

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
1,101
Reaction score
1,573
Habari za mida hii wanajamvi.

Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe.

bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa pande hizo?

Naomba ane fahamu hili asisite kunijulisha. Natanguliza shukrani kwa yeyote atakae ni saidia hili. [emoji120] NB: mzigo nauzia Dar. Kwahiyo trip itakua Mbeya
- Dar au Njombe-Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…