Msaada tutani vifurushi vya post paid (SME)

Msaada tutani vifurushi vya post paid (SME)

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
966
Reaction score
1,084
Kwema wanajamvi?? Nimeunga kifurushi cha Voda SME POST PAID cha Tsh 15,000/= kwa mwezi huu ni mwezi wa 3 natumia....!!
Shida nikitaka kulipa baada ya matumizi hela haiendi kwa akaunt yangu inakuwa UNSUCCESSFULL numelipa mara moja siku ya kuiactivate...!!
Msaada hapo nifanyaje mana siku unaweza kupata DENI la laki kadhaa wakat wakati huu ukitaka kulipa inagoma na je akaunt hizi zinaanza na Vsifuri au Voo
 
Back
Top Bottom