Msaada tutani wa gharama za kuvuta maji taka

Msaada tutani wa gharama za kuvuta maji taka

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Gharama za kuvuta maji taka kwenye karo ni Tshs kwasasa kwa mwenye ufahamu ?

Nipo Mbezi Luis Dar es salaam, kama nitapata kujuzwa bei na namba za simu za watu wanaopatikana jirani na Mbezi Luis nitashukuru

Ahsante
 
Back
Top Bottom