kuna wa2 wengine cjui vp anaacha kuchangia kilichoulizwa anaanza kukosoa cplng kama huna la maana we kausha tu munaboa banhaa!!!
Hata TAMISEMI wanaijua, Google ni kila kitu! Prime Minister's Office Local and Urban organisation.
Mkuu ni sura na siyo sula,unakohamia wana shida kwel kwel.JIPANGE UPYA