Msaada tutani wajameni!

Mdau Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
233
Reaction score
46
WanaJF nifanyeje niwe na bass maana cjui niliruka stage kipindi nabarehe maana sijawahi kuwa na bass la kunguruma kama simba,nimejaribu kumeza mayai mabichi ila wapi,plz anayefahamu dawa yoyote anielekeze maana mtaani wananiita sharobaro m'bana pua!Natanguliza shukurani zangu kwenu wadau wangu!
 
kunywa gongo/ konyagi changanya na yai la bata bichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…