Msaada tutani wakubwa.....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Naomba msaada kwa anayefahamu wapi nitapata spares hizi za Mazda premacy:
Civ joints, stabilizer links na bushes.
 
Awali ya yote, upo wapi...? ili uelekezwe duka la kwenda kununua .

Atakuwa Dalali huyo na tayari kaingia mitini, mwambie afungue hiyo spare halafu aende Ilala akatafute kwa used shop kwani Mazda spare zake ni taabu kidogo
 
Dalali kivipi mkuu? Kama huna msaada si vyema kuropoka hovyo, hekima ni kitu cha msingi sana
Atakuwa Dalali huyo na tayari kaingia mitini, mwambie afungue hiyo spare halafu aende Ilala akatafute kwa used shop kwani Mazda spare zake ni taabu kidogo
 
Naomba msaada kwa anayefahamu wapi nitapata spares hizi za Mazda premacy:
Civ joints, stabilizer links na bushes.
Kwa Dar, duka la spare parts za Mazda lipo Tabata Matumbi karibu na kituo cha daladala hapo Matumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…