Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
thanks mkuu kwa ushauritelecom hapana sasa mambo ya analog yanatokomea soon hata hapo tz by 2012-2015 itakuwa ni digital kwenda mbele(ref: tido). hiyo field labda akipata chance china,japan asome artificial intelligence: neuro networks,nano tech etc ndio zitabamba lkn hiyo akimaliza tu 4th yr atarudi mtaani, wako wapi mafundi wa ttcl
umeme ni principles tu ipo na itaendelea kuwepo haikwepeki, afanye umeme
asante mkuu mawazo yako ni muhimu maaana wadogo zetu wako dilemma sana linapokuja suala la kuchagua kozi .Mwambie aende Bsc in Computer Science.
mkuu wadogo zetu wanakuwa dilemma sana na uchaguzi wa kozi za kusoma vyuoni . umenipa mwanga sana wa kumshauri huyu bwana mdogo .telecom hapana sasa mambo ya analog yanatokomea soon hata hapo tz by 2012-2015 itakuwa ni digital kwenda mbele(ref: tido). hiyo field labda akipata chance china,japan asome artificial intelligence: neuro networks,nano tech etc ndio zitabamba lkn hiyo akimaliza tu 4th yr atarudi mtaani, wako wapi mafundi wa ttcl
umeme ni principles tu ipo na itaendelea kuwepo haikwepeki, afanye umeme