Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Mwenye uelewa naomba msaada kwenye simu yangu kuna wakati naona Ina anatoa ujumbe huu"sms sent" wakati huo sijaandika wala kutuma sms yoyote na hiyo sms siioni zaidi ya huo ujumbe.
Nimejaribu kuzuia pamission zote za App ya kuwa na uwezo wa ku access simu yangu lakini bado sms hiyo inajitokea mara moja moja kwa siku.
Nimejaribu kuzuia pamission zote za App ya kuwa na uwezo wa ku access simu yangu lakini bado sms hiyo inajitokea mara moja moja kwa siku.