Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
kuna mtu ana access na simu yako remotely na ndo anayetuma hizo sms halafu anawahi kufuta.Mwenye uelewa naomba msaada kwenye simu yangu kuna wakati naona Ina anatoa ujumbe huu"sms sent" wakati huo sijaandika wala kutuma sms yoyote na hiyo sms siioni zaidi ya huo ujumbe. Nimejaribu ku zuwia pamission zote za app ya kuwa na uwezo wa ku access simu yangu lakini bado sms hiyo inajitokea mara moja moja kwa siku.