Mkuu Arusha mimi ni mgeni, nitashukuru endapo utanisaidia mawasiliano
Hio hapo mkuu-0717647554Mkuu Arusha mimi ni mgeni, nitashukuru endapo utanisaidia mawasiliano
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kufahamu ni sehemu gani Arusha naweza kupata Oil Seal ya clean shaft ya subaru forester New model ya mwaka 2009. Natanguliza shukraniView attachment 1288672View attachment 1288673
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan tangu mwaka Jana hajapata hiyo seal?seal ni moja ya universal aftermarket part , kama vile fan belt au bearings zinavyokuwa , huna namba ya hiyo seal?
Tatizo watu hawaleti mrejesho...ilipendeza aseme ameipata duka gani ili iwe msaana kwa watu wengineKwan tangu mwaka Jana hajapata hiyo seal?
Haha hata sikujua Kama ni Kama thread ni ya Siku nyingi, Ila nilitaka tu kuuelewesha uma kwamba vitu Kama seals bearings na belts haviwi specific kwa ajili ya gari Fulani , hata hao Subaru huwa Wana source kwa manufacturers kadhaaKwan tangu mwaka Jana hajapata hiyo seal?