Msaada tutani: World bank wanakubalije miradi ya watu na kuifadhili? Wenye kujua tafadhali

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
23
wakuu habari zenu
nimekuwa ninaona mara kwa mara miradi inayofadhiliwa na world bank ya kimaendeleo kwa ajili ya kupunguza umasikini, ujinga na magonjwa duniani kote miradi hiyo ipo ya short term na long term planning.
na hii ndio mifano ya miradi yenyewe ambayo inafadhiliwa hapa Tanzania
val Date

[TD="width: 32%"] [h=6] Urban Local Government Strengthening Program [/h] [/TD]
[TD="width: 12%"] Tanzania [/TD]
[TD="width: 12%"] P118152 [/TD]
[TD="width: 14%"] 255.0 [/TD]
[TD="width: 12%"] Active [/TD]
[TD="width: 15%"] OCT 23, 2012 [/TD]

[TD="width: 32%"] [h=6] Accelerated Food Security Project Additional Financing [/h] [/TD]
[TD="width: 12%"] Tanzania [/TD]
[TD="width: 12%"] P132780 [/TD]
[TD="width: 14%"] 25.0 [/TD]
[TD="width: 12%"] Active [/TD]
[TD="width: 15%"] OCT 23, 2012 [/TD]

[TD="width: 32%"] [h=6] Tanzania: Third Additional Financing for Agricultural Sector Development Project [/h] [/TD]
[TD="width: 12%"] Tanzania [/TD]
[TD="width: 12%"] P132838 [/TD]
[TD="width: 14%"] 30.0 [/TD]
[TD="width: 12%"] Active [/TD]
[TD="width: 15%"] OCT 23, 2012 [/TD]

[TD="width: 32%"] [h=6] Tanzania Phase II: EITI Implementation [/h] [/TD]
[TD="width: 12%"] Tanzania [/TD]
[TD="width: 12%"] P131330 [/TD]
[TD="width: 14%"] 0.35 [/TD]
[TD="width: 12%"] Active [/TD]
[TD="width: 15%"] MAY 30, 2012 [/TD]

[TD="width: 32%"] [h=6] Tanzania Productive Social Safety Net [/h] [/TD]
[TD="width: 12%"] Tanzania [/TD]
[TD="width: 12%"] P124045 [/TD]
[TD="width: 14%"] 220.0 [/TD]
[TD="width: 12%"] Active [/TD]
[TD="width: 15%"] MAR 29, 2012
[/TD]


mimi kama mimi ninaamini kuwa hapa JF kuna watu wana miradi ambayo wangependa kufadhiliwa na world bank ila maybe hawana connections au maybe hawajui waanzie wapi na vile vile ninaamini kuwa hapa hapa JF kuna watu miradi yao ilifadhiliwa na world bank hivyo basi nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua procedures za kuwa approach world bank ukiwa na mradi wako atueleze na kama kuna mtu anajua aina ya business plan ambazo world bank wanazikubali katika kufadhili miradi hiyo pia atujuze ili tuone ni jinsi gani miradi ambayo iko kichwani kwetu itageuka na kuwa reality
natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…