Msaada tutani

Msaada tutani

TAECOLTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
1,051
Reaction score
1,836
Imezoeleka kwamba kisheria iwapo mwanaume atatembea kimapenzi na mwanafunzi wa kike haijalishi awe ni Mwalimu au raia kawaida sheria hufuata mkondo wake, mwaka juzi nikasikia habari ya mwanafunzi wa kiume kumzalisha Mwalimu wake wa kike lakini hatua hazikuchukuliwa. Kidogo nikapata ukakasi wa akili inamaana sheria hii ni msumeno unaokata upande mmoja pekee na ukiwa butu upande mwingine au iwapo kuna sheria hiyo ningefurahi kusaidiwa kuondoa hii kutu akilini mwangu...
Asanteni na nawasilisha..
 
Sidhani kama sheria inagusa kwa upande huo. Maana huyo hajaharibiwa masomo yake
 
Back
Top Bottom