Msaada tutani!

Msaada tutani!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Ndugu zangu wana JF,sisi wengine kompyuta tumekutana nazo ukubwani.Hebu nielekezeni avatar inatengenezwaje? nami nataka niwe nayo,long time nina appear kavu kavu its time now,naomba mnipe shule tafadhali!
 
wewe naona hata kutumia jf hujui, hapa ni jukwaa la picha, tafuta jukwaa husika tafadhari.
 
wewe naona hata kutumia jf hujui, hapa ni jukwaa la picha, tafuta jukwaa husika tafadhari.

Jamani si ameona avatar zenu ni picha ndio maana na yeye akajitupia hapa au
 
wewe naona hata kutumia jf hujui, hapa ni jukwaa la picha, tafuta jukwaa husika tafadhari.
hajui ndo maana akakuomba wewe na mimi as great thinkers tumsaidie.kwani kakosea hapo mkuu?
 
Mkuu bishanga bofya kwenye Private Message pale juu chini ya USERCP halafu bofya kwenye Edit Avatar then bofya Brouse kama umesave picha kwenye computer yako halafu ukishachagua picha bofya save.Hapo itakuwa tayari.Asante na karibu uendelee kufaidi JF where we dare to talk openly and the home of the great thinkers.
 
Back
Top Bottom