IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Nilpokua nasoma chuo nilkua na mahusiano na msichana mmoja ambaye kwa imani yake ni muislam na mm ni mkristo,akapata uja uzito na kujifungua baby boy_we love and respect each other,nikahitimu chuo na kupata kazi arusha ambapo nipo mpaka sasa.
Baba wa msichana huyo alifariki muda kidogo na ana kaka yake ambaye alikua anaishi nchi moja huko ulaya kwa miaka mingi na hivyo wakati naanza uhusiano na mdada huyo,huyo kaka ambaye ni shemeji yangu hakuwepo alikua bado ulaya na sasa amerudi tz,...akamwambia mama mtt wangu hakuna kubadili dini na wala haitaji dada yake aoelewe na mkristo_ingawa hapo mwanzo mpenzi wangu na wanafamilia waliridhia hilo.Basi mama mtt wangu kwa sababau tulipendana akataka kuforce lakn nikajitahidi kumshauri ili amweleweshe kaka yake mpaka akubali lakn ikashindikana.
Tukafikia mwafaka mwezi wa 8 mwaka jana ili tuachane ingawa kwa maumivu makubwa kwani bado tulipendana.
Nikarudi Arusha na kuanza maisha mapya yenye upweke na machungu ndani yake,as time went on nikapendane na mdada mwingine anasoma bado ingawa atamaliza mwaka huu,tumekubaliana kuoana mambo yakiwa fresh_tunapendana sana.
Sasa,imetokea yule mama mtt wangu anasema ameamua kuja arusha kuanza maisha na mm kwan bila mm anahisi maisha hayajakamilika.
Angalizo;Niliachana nae bila kugombana na hivyo mapenzi yalikatishwa na ana mtt wangu,lakn huyu mpnz wangu niliye nae kwa sasa nampenda nae ananipenda na kuniheshimu sana na hivyo naogopa kumuumiza na kumpotezea mwelekeo wa maisha yake.
WanaJF naombeni ushauri wenu on how to go about it,.........nawasilisha