Raphael JK
New Member
- May 21, 2019
- 2
- 0
Wakuu naulizia bei ya ARTIFICIAL GRASS CARPETS (Makapeti ya nyasi bandia) kwa 1 metre square/ mita 1 ya mraba kwaajili ya Decoration/upambaji. Kwa anaefahamu mahali yanapo patikana kwa bei nafuu ntashukuru mchango wake.