Raphael JK New Member Joined May 21, 2019 Posts 2 Reaction score 0 May 22, 2019 #1 Wakuu naulizia bei ya ARTIFICIAL GRASS CARPETS (Makapeti ya nyasi bandia) kwa 1 metre square/ mita 1 ya mraba kwaajili ya Decoration/upambaji. Kwa anaefahamu mahali yanapo patikana kwa bei nafuu ntashukuru mchango wake.
Wakuu naulizia bei ya ARTIFICIAL GRASS CARPETS (Makapeti ya nyasi bandia) kwa 1 metre square/ mita 1 ya mraba kwaajili ya Decoration/upambaji. Kwa anaefahamu mahali yanapo patikana kwa bei nafuu ntashukuru mchango wake.
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 May 23, 2019 #2 Raphael JK said: ARTIFICIAL GRASS CARPETS (Makapeti ya nyasi bandia) kwa 1 metre square/ mita 1 ya mraba kwaajili ya Decoration/upambaji. Click to expand... Ingia alibaba >> https://www.alibaba.com/showroom/artificial-grass.html Gharama iliyowekwa hapo haijajumuisha usafirishaji. Gharama kamili inategemea ukubwa wa mzigo utakao chukua.
Raphael JK said: ARTIFICIAL GRASS CARPETS (Makapeti ya nyasi bandia) kwa 1 metre square/ mita 1 ya mraba kwaajili ya Decoration/upambaji. Click to expand... Ingia alibaba >> https://www.alibaba.com/showroom/artificial-grass.html Gharama iliyowekwa hapo haijajumuisha usafirishaji. Gharama kamili inategemea ukubwa wa mzigo utakao chukua.
Raphael JK New Member Joined May 21, 2019 Posts 2 Reaction score 0 May 23, 2019 Thread starter #3 Shukrani sana kwa msaada wako