mokoloko
Member
- Mar 15, 2016
- 75
- 68
Kwenu wataalam na wadau wa kilimo huu ni mche wa pilipili hoho nimeujaribu kuchunguza shambani nikaona miche mitano iko zaifu baada ya kuing'oa nikakutana na hali hii je ninaweza kutumia dawa zipi kuutibu, na je tatizo hili linasababishwa na nini?,,.View attachment 1147685