msaada tutani

msaada tutani

Haika

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,347
Reaction score
562
eti jino likilegea kiasi, kwa ajili ya ajali, ni lazima litoke au litabana lenyewe?
 
eti jino likilegea kiasi, kwa ajili ya ajali, ni lazima litoke au litabana lenyewe?

using'oe, kama limelegea kiasi litabana tu,...I hope this reply is not too late...
 
Binafsi nakushauri ukamwone dentist,kama katika wanajf kuna dentist si vibaya ukamsaidia ndugu yetu huyu.Nina imani akisha kuona atajua tatizo ni kubwa kiasi gani.Na yeye ndo atajua ung'oe au la.
 
Back
Top Bottom