Asante sana mkuu. Nawezaje kuainisha kadi genuine na fake?Usiumize kichwa, nenda kachague pikipki unayotaka, waombe nakala ya kadi, nenda TRA kafanye verification. Ukiridhika rudi ufanye biashara. Angalia pia kama kadi ni genuine. kwa sasa ni hilo tu
Hapo inategemea sasa na uelewa wa mtu na mtu, manaa unaweza kuta kadi ikaonekana kama OG kabisa kumbe ni feki, so far cha kufanya wewe nenda TRA kwanza na mkataba wako uwe ni wa maandishi sio wa maneno. au fanya hivi, kubali gharama, yeye kama anauza pikipiki na kadi hazipo kwenye majina yake, mpe pesa akabadilishe jina lisome kwenye jina lake kwanza ndio wewe ununue kadi ikiwa iansoma jina lake, ni gharama mara mbili lakini kama una mashaka waweza kufanya hivyo, hio nayo ikiw angumu, naksuhauri jichange nenda kanunue mpya. Ongeza hio pesa ukanunue chombo kipyaAsante sana mkuu. Nawezaje kuainisha kadi genuine na fake?