Msaada tutani...

Msaada tutani...

iamwangdamin

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
864
Reaction score
1,798
Juzi wakati npo kanisani pastor ndipo akaja baada ya kuniona nmeshika simu yangu kisha akaniuliza nmenunua shillingi ngapi ndipo nikadanganya kwa kusema shillingi elfu hamsini wakati dukani ni laki tano kwa kuogopa angeniulza sadaka natoa shillingi ngapi mpaka namiliki simu ya laki tano

Jioni hii kaja nyumbani na shillingi laki moja kanambia nikamnunulie simu mbili kama hii yangu,moja yakwake na ingine ya mke wake kwa kuwa ameipenda,sasa nifanyaje?

Nsaidieni hapo
 
Juzi wakati npo kanisani pastor ndipo akaja baada ya kuniona nmeshika simu yangu kisha akaniuliza nmenunua shillingi ngapi ndipo nikadanganya kwa kusema shillingi elfu hamsini wakati dukani ni laki tano kwa kuogopa angeniulza sadaka natoa shillingi ngapi mpaka namiliki simu ya laki tano!!!

Jioni hii kaja nyumbani na shillingi laki moja kanambia nikamnunulie simu mbili kama hii yangu,moja yakwake na ingine ya mke wake kwa kuwa ameipenda,sasa nifanyaje????????????Nsaidieni hapo
😂😂😂😂😂 loh!
 
Juzi wakati npo kanisani pastor ndipo akaja baada ya kuniona nmeshika simu yangu kisha akaniuliza nmenunua shillingi ngapi ndipo nikadanganya kwa kusema shillingi elfu hamsini wakati dukani ni laki tano kwa kuogopa angeniulza sadaka natoa shillingi ngapi mpaka namiliki simu ya laki tano

Jioni hii kaja nyumbani na shillingi laki moja kanambia nikamnunulie simu mbili kama hii yangu,moja yakwake na ingine ya mke wake kwa kuwa ameipenda,sasa nifanyaje?

Nsaidieni hapo
Zimekwisha hii ilikuwa ya mwisho Mimi ndio nimeimalizia, mwenye duka kasema akileta tena bei itakuwa kubwa sana, endelea tu kuwa muongo maana hukutaka kuwa mkweli.

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom