iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 864
- 1,798
πππππ loh!Juzi wakati npo kanisani pastor ndipo akaja baada ya kuniona nmeshika simu yangu kisha akaniuliza nmenunua shillingi ngapi ndipo nikadanganya kwa kusema shillingi elfu hamsini wakati dukani ni laki tano kwa kuogopa angeniulza sadaka natoa shillingi ngapi mpaka namiliki simu ya laki tano!!!
Jioni hii kaja nyumbani na shillingi laki moja kanambia nikamnunulie simu mbili kama hii yangu,moja yakwake na ingine ya mke wake kwa kuwa ameipenda,sasa nifanyaje????????????Nsaidieni hapo
Zimekwisha hii ilikuwa ya mwisho Mimi ndio nimeimalizia, mwenye duka kasema akileta tena bei itakuwa kubwa sana, endelea tu kuwa muongo maana hukutaka kuwa mkweli.Juzi wakati npo kanisani pastor ndipo akaja baada ya kuniona nmeshika simu yangu kisha akaniuliza nmenunua shillingi ngapi ndipo nikadanganya kwa kusema shillingi elfu hamsini wakati dukani ni laki tano kwa kuogopa angeniulza sadaka natoa shillingi ngapi mpaka namiliki simu ya laki tano
Jioni hii kaja nyumbani na shillingi laki moja kanambia nikamnunulie simu mbili kama hii yangu,moja yakwake na ingine ya mke wake kwa kuwa ameipenda,sasa nifanyaje?
Nsaidieni hapo
Zimekwisha hii ilikuwa ya mwisho Mimi ndio nimeimalizia, mwenye duka kasema akileta tena bei itakuwa kubwa sana, endelea tu kuwa muongo maana hukutaka kuwa mkweli.
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loh!
Mwambie unaomba radhi bei uliomtajia haikua ya kweli. Aongeze laki tisa apate sim mbili zote full box.