Msaada tutani

Msaada tutani

Amosy09

Member
Joined
May 30, 2018
Posts
34
Reaction score
177
Pikpiki yang nkiwasha inaonyesha alama nyekundu picha yake hapo chini hii alama kila ninapoiwasha hali ambayo mwanzo haikuwepo naombeni msaada wa kujua kama kuna kitu kimeharibika ama service ya aina gan inahitajika hapa
Alama ni hyo nyekundu kushoto

20201102_194910.jpg
 
Ni OIL imepungua ongeza utakaanga injini sasaivi

piston itang'ngania kwenye block ndio mwisho wa safari.

wataalamu wanasema imenoki
Nimefanikiwa kuongeza lakini hyo taa bado inawaka vilevile mkuu
 
Back
Top Bottom