Pikpiki yang nkiwasha inaonyesha alama nyekundu picha yake hapo chini hii alama kila ninapoiwasha hali ambayo mwanzo haikuwepo naombeni msaada wa kujua kama kuna kitu kimeharibika ama service ya aina gan inahitajika hapa
Alama ni hyo nyekundu kushoto