K Kichakoro JF-Expert Member Joined Sep 10, 2008 Posts 3,335 Reaction score 6,186 Nov 14, 2008 #1 Wajameni Ninaomba msaada wa number ya simu ya mwanadada Nakaaya Sumary ama manager wake ama njia yeyote naweza kumfikia kabla ya jumamosi. Naomba unitumie kwenye PM kama hutopenda iwe hadharani. kichakoro wa Mjini
Wajameni Ninaomba msaada wa number ya simu ya mwanadada Nakaaya Sumary ama manager wake ama njia yeyote naweza kumfikia kabla ya jumamosi. Naomba unitumie kwenye PM kama hutopenda iwe hadharani. kichakoro wa Mjini
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 413 Nov 14, 2008 #2 Kichakoro said: Wajameni Ninaomba msaada wa number ya simu ya mwanadada Nakaaya Sumary ama manager wake ama njia yeyote naweza kumfikia kabla ya jumamosi. Naomba unitumie kwenye PM kama hutopenda iwe hadharani. kichakoro wa Mjini Click to expand... ..Unataka kuendeleza Politiki??? Teh! tehhh! tehhhhh!!!!!
Kichakoro said: Wajameni Ninaomba msaada wa number ya simu ya mwanadada Nakaaya Sumary ama manager wake ama njia yeyote naweza kumfikia kabla ya jumamosi. Naomba unitumie kwenye PM kama hutopenda iwe hadharani. kichakoro wa Mjini Click to expand... ..Unataka kuendeleza Politiki??? Teh! tehhh! tehhhhh!!!!!
K Kichakoro JF-Expert Member Joined Sep 10, 2008 Posts 3,335 Reaction score 6,186 Nov 14, 2008 Thread starter #3 Laligeni said: ..Unataka kuendeleza Politiki??? Teh! tehhh! tehhhhh!!!!! Click to expand... haahahahah Ni mambo ya maendeleo na si politic mkuu
Laligeni said: ..Unataka kuendeleza Politiki??? Teh! tehhh! tehhhhh!!!!! Click to expand... haahahahah Ni mambo ya maendeleo na si politic mkuu
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 Nov 14, 2008 #4 Kama ni kikazi most Radio stations watakusaidia kumpata kwa haraka huwa wanazo namba za wasanii.