Labda anahisia na wewe ila anaogopa mkienda out au akija kwako unaweza kumpeleka haraka.
Jaribu katika maongezi yenu kumwambia kua mkionana wawili tu hakuna kitu utamuomba, na umaanishe. Utaona atakuja.

Ni kwamba situation hapo inasoma hujawa serious kwa maana ya neno SERIOUS! ukiwa unaendesha hilo zoezi huku unachekacheka kama Jeykei (Jeykei hucheka hata kwenye mazishi) atakusumbua ! Jaribu ku'act nikwambiavyo utaona mabadiko, mwanamke hana ujanja kwa mwanaume.
Asikudanganye mtu.
Teh halafu akija anamuomba.....teh mwali hiyo ndo janja ya nyani.Labda anahisia na wewe ila anaogopa mkienda out au akija kwako unaweza kumpeleka haraka.