geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
Asante sana kwa ufafanyzi. Ukiachana na changamoto, unadhani ni mashine muhumu au sahihi kwa mtu wa ujenzi kua nayo? Sababu nafikiria kuinunuaIla changamoto ni sehemu inayotegeshwa, itaweza kunyanyuka na mzigo wa tani 1 na nusu.hapo umakini unaitajika sana
Mara nyingi matumizi yake ni kwenye viwanda ila kwa maswala ya ujenzi sio sana.kwa iyo ni kupoteza pesa kuinunua.labda utumie kupandishia zege ukiwa unamwaga slabAsante sana kwa ufafanyzi. Ukiachana na changamoto, unadhani ni mashine muhumu au sahihi kwa mtu wa ujenzi kua nayo? Sababu nafikiria kuinunua
Yaan hio ni inatumika kusaga na kukoboa au sijaelewa mimi?Yes, inatumika mara nyingi kwenye kumimina slab na ndo nahisi mwandishi anataka ya kazi hio
Yaan hio ni inatumika kusaga na kukoboa au sijaelewa mimi?i
Badala ya watu kupandisha zege juu na vindoo hii huwa mounted juu na ndo inatumika kama winchi ndogo inatoa zege chini kupeleka juu.Yaan hio ni inatumika kusaga na kukoboa au sijaelewa mimi?