Msaada Tutani

Msaada Tutani

Dungulee

Member
Joined
Oct 23, 2008
Posts
17
Reaction score
1
Ndugu,jamaa na marafiki wa hapa JamiiForums mimi ni kijana ninayeomba msaada wa kueleweshwa njia za kuweza kununua gari zuri.

1.Nivitugani vya msingi vyakuweza kuzingatia katika manunuzi ya Gari?

2.Ni njia gani nitakazo weza kufuata ili niweze kupata gari hilo kama nimeagiza nje ya nchi?na pia malipo yake yanalipwa kwa mpango upi?

Samahanini kwa usumbufu ninaowapatia waungwana.naomba kuwasilisha.
 
1. Vitu vya msingi kuzingatia ni uwezo wako wa kununua hiyo gari hii ni pamoja na gharama za kulinunua pamoja na kulitunza, mahitaji, hapa unatakiwa ujiulize unahitaji hilo la gari kwa kazi gani, na mazingira gani utalitumia hilo gari. Iwapo utakuwa clear na vitu hivyo nadhani utaweza kufanya uamuzi sahihi. mfano iwapo uwezo wako ni kiasi pia unahitaji gari kwa matumizi yako binafsi kama kwenda kazini lakini unaishi sinza- uamuzi ni kununua gari ndogo salon(labda GX 100) used, iliyotembea kilomita chini ya 75000, iwe imetengenezwa ya baada ya mwaka 1999, injini isizidi cc200, na vitu vingine ila ni lazima uwe clear na matumizi ya hilo gari na uwezo wako.
2. Kuna kampuni nyingi na zina taratibu tofauti tofauti, ila kwa ushauri wangu tumia makampuni yenye ofisi au wakala hapa nchini ili kuepuka wizi uliojitokeza siku hizi. Mengine ni bora ukayajua huko through the process ilikuepuka kuwa misleaded na watu kwani bongo kila mtu ananjia yake ya kupindisha taratibu..
P.s Hongera mzee naona unakaribia kututia njaa sisi makondakta wa daladala.
 
Back
Top Bottom