habari za jioni wana blog ya jamii, nipo hapa kuomba msaada kuna kitu kina nisumbua mimi niko na demu ambaye ni mchumba wangu ila tatizo ni kwamba tukiwa kwenye tendo lile la baba na mama (tendo la ndoa) hata hakati kiu yangu hali kadhalika kwake hata mimi sikati kiu yake, nimeshataka kuachana naye ila napewa ushauri kuwa kila kitu kitakuja kukaa sawa kadri tunavyokwenda na tumeshakaa muda wa miaka 3 na wengine wanasema ndoa sio kufanya mapenzi ila mimi naamini ndoa ni tendo maana kama simridhishi ina maana tukija kuwa mke na mume atakwenda nje ya ndoa kutafuta mtu atakaye mkata kiu yake. naombeni ushauri wadau ila yeye demu ananipenda sana na wakati huo huo niko na demu mwingine ananifurahisha kinoma na yeye anafurahishwa na mimi kwa kwenda mbele na nina mpenda kuliko mchumba wangu. Je nifanyeje?????????????????? nipo njia panda