Msaada tutani

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Posts
3,387
Reaction score
2,245
Natafuta mtu au kampuni ambayo itanisaidia kununua kitu fulani toka UK na kusafirisha mpaka Tz, pesa ningependa nilipe kwa Tsh,
 
labda ungeli toa maelezo ya ziada ya kitu unachotaka kununua. Pia ueleze kama ni cha biashara , matumizi binafsi, n.k. Kisa cha kutka kulipa kwa Tshs ni nini?
 
labda ungeli toa maelezo ya ziada ya kitu unachotaka kununua. Pia ueleze kama ni cha biashara , matumizi binafsi, n.k. Kisa cha kutka kulipa kwa Tshs ni nini?
Asante mkuu, nataka nipate used land engine mbili au refurbished one toka UK zikiwa complete na zifike DSM-Tz, then mimi nitalipa gharama zote zitakazokuwa zimetumika kununulia na kusafirisha plus comission na kama security ni nzuri kwangu basi naweza lipia kabla
 
najaribu kuelewa ulichokuwa unamaanisha natoka bila bila.😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…