Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...tuliza akili biashara zipo nyingi sana,jambo la msingi na linalo washinda watu wengi ni kujua aina ya biashara inayoendana na kaliba yako. Ukiweza kubadilisha personality yako ikaendana na biashara husika utakuwa na uwezo wa kufanya biashara yoyote na ukafanikiwa. Sasa cha kwanza angalia mazingira unayoishi au hata nyumbani kwako kunakitu gani mnatumia lakini upatikanaji wake unasumbua,au kinapatikana lakini kinatumika sana,kijengee busines plan kisha fanya biashara. Nakupa njia ndefu ili upate ufahamu wa kutosha juu ya biashara unayotaka kufanya. Watakuja watu na kukwambia fanya biashara fulani,utaona biashara mbaya maisha yako yote maana lazima uchemke tu,hilo nakuhakikishia...