Msaada: Uandaaji research proposal

yahayabaidu

Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
17
Reaction score
5
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu, tatizo langu ni jinsi ya kuandika research gap katika literature review. Je! naandikaje?
 
Usimwogope mwalimu wako. Mwombe akuelekeze. Si kitu cha kukisema kwa sentensi tatu, nne, tano.
 
Usimwogope mwalimu wako. Mwombe akuelekeze. Si kitu cha kukisema kwa sentensi tatu, nne, tano.

well said, unaweza pia elekezwa hapa wakat masupervisor wametofautiana aliyekusimamia wewe ni tofauti na atakaye msimamia mwingne mfwate akuelekeze vzur!
 
kwanza lazima ujue kuwa sio Dr (PhD) wote wana jua research wapo wanao juwa wapo ambao hawajui mkuu, ukiona supervisor ana anza kukwambia tafuta wenzio wakusaidie huko uanze kuweka ulakini nae, hiyo ni chapter two research information gap inatokana na kazi ambazo watu wa nyuma ambao wame fanya research ambayo angalau kidogo ina endana na yako n kitu gani wame ona na nn ambacho wewe unataka kwenda kucover, moja kati ya research gap utakayo weza kuoina kwa haraka ni time wao walifanya kipindi cha nyuma wewe unafanya sasa, nyingine ni geographical location... etc, kwa ushauri zaidi wa research unaweza kuniona kwa namba hizi 0754 660061 or 0786 660061 au email: vicentvicent31@gmail.com kama utapenda lakini gharama ipo kiasi mana yako ni kipengele tuu co research proposal yote
 
Chapter two huku twaita Literature Review
 
research proposal always ndio chapter 1 of your dissertation, hapo kwenye literature review ni kwamba ni jinsi gani vitabu mbalimbali vimeelezea jambo unalolifanyis itafiti? mfano unazungumzis lets say "utawala bora Tanzania" ingia maktaba au tafuta vitabu ni jinsi gani vimeelezea suala hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…