Msaada: Uchachu ulipitiliza mdomoni

Msaada: Uchachu ulipitiliza mdomoni

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
345
Reaction score
86
Tatizo nini wadau nimekua nikipitia hii hali mwezi sasa uchachu mkali kama chuma chuma hivi,

Msaada kwa anayejua tiba ya ugonjwa huu.

Asanteni.
 
hiyo ni kandida fungus mkuu hao ni fungus ambao wapo mwilin wakizid inakua shida kama hiyo na mdomo kubabuka kama msanii wamuziki wa kizazi kipya bob junior
 
hiyo ni kandida fungus mkuu hao ni fungus ambao wapo mwilin wakizid inakua shida kama hiyo na mdomo kubabuka kama msanii wamuziki wa kizazi kipya bob junior

tiba mkuu
 
Back
Top Bottom