Msaada, uchaguzi wa aina nzuri za miti ya kupanda.

Msaada, uchaguzi wa aina nzuri za miti ya kupanda.

Shunula

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
72
Reaction score
15
Habari wakuu
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea na majukumu yenu ya kawaida. Hongereni kwa hilo ! Mimi ni mjasiria mali nahitaji kupanda miti lakini kuna mambo yafuatayo yananitatiza;
1. Ni aina gani ya miti yenye thamani kubwa na soko la uhakika ?
2. Ni aina gani ya miti huwahi kukomaa na kuvunwa(miaka 8-10) na vp kuhusu soko lake ?
 
Back
Top Bottom