Habari wakuu
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea na majukumu yenu ya kawaida. Hongereni kwa hilo ! Mimi ni mjasiria mali nahitaji kupanda miti lakini kuna mambo yafuatayo yananitatiza;
1. Ni aina gani ya miti yenye thamani kubwa na soko la uhakika ?
2. Ni aina gani ya miti huwahi kukomaa na kuvunwa(miaka 8-10) na vp kuhusu soko lake ?