simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Wakuu wa shule huwa wanaenda kwenye kuchagua
Ndio wale wale tunaowasema wanaoandika ZOMBI na MESSI,hivi hadi unamaliza A level ulikuwa hujui selection ya A level inafanyikaje?unbeliavable
ahsante. Waliofaulu udahili wana taarifiwa vipi? Magazeti au mtandao au kupitia shule waliposoma?
kamaliza O level na si A level inaelekea hata shule hujaenda wwNdio wale wale tunaowasema wanaoandika ZOMBI na MESSI,hivi hadi unamaliza A level ulikuwa hujui selection ya A level inafanyikaje?unbeliavable
Naomba msaada taratibu udahili A Level shule za serikali. Je ipo kamati inayosimamia udahili kama ya vyuo vikuu a mwanafunzi inabidi kutuma maombi shule husika? Ahsante
Muulize huyo alomaliza o level wakt akiwa shuleni form four hakujaza form inayomtaka achague shule anayotaka.? Labda km shule za sikI hizI hawafany..ss tulichagua shule tuzopendazo na combination unauopenda kusomea ktk shule hiyo..ikitokea umefaulu wanaangalia choices zako na perfomance then unapelekwa shule ambayo kwa pergomance yako inaendana..sawa dogo
Mtandaoni na huwa wanatangaza selection bado sana tegemea mwezi wa nne na kuendelea sababu A-LEVEL Wanaingia july mwaka huu
Hiyo ulosema ndio taratibu sahihi. Unachagua shule tatu na combination inategemea perfomance yako mtihani wa majaribio. Nadhani hii taratibu haipo tena. Anyway nitamuliza dogo.