Huitaji fedha ila unataka udhaminiwe! Kama pesa sio shida kwanini usiende hospitali mwenyewe?Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA,
Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna,
Pia maumivu ya mgongo nakuwa nayaskia sana yani katikati ya mgongo, Sasa nilikuwa naomba udhamini au msaada wa kupata mtu anisimamie kwenye vipimo, labda ultrasound tumboni na dawa ugonjwa ukipatikana,
Siitaji ata mia yake mi nipate vipimo tu vyovyote vile vikiitajika view vikubwa au vidogo , Asanteni sana🙏
Kuandikisha file la kwenda kwa daktari sh elfu kumi yeye ndo atasema upime vipimo Gani!?Umeshaenda hospitali?
Umeshaandikiwa vipimo?
Kama udhamini wowote tu ule mkuu maana nimesema hivyo, kama ukiona Bora fedha, Haina tatizoHuitaji fedha ila unataka udhaminiwe! Kama pesa sio shida kwanini usiende hospitali mwenyewe?
Nashukuru mkuuInshalah, Mungu atakuinulia wakukushika mkono.
Habari za usiku huu au jioni hii wakubwa wangu na ndugu zangu wengine, poleni na majukumu siku ya Leo, naomba kusema mrejesho wangu baada ya kwenda hospital kuulizia vipimo, nimeambiwa mapokezi tu kufungua kadi ili nikamuone daktari ni sh 10000, huko ndo ataniambia nipime vipimo Gani na Gani , nesi mwenyewe anasema hajui chochote kinachosemwa na daktari, kesho nataka niende Sina hela ndugu zangu naomba msaada wenu mnisaidie nipime naumia🙏🙏
Sijajua kitu Gani mkuu kinasumbuq, Sina shughuli maalumu ya kufanya mkuu,Unahisi itakua Nini mkuu? Je? Unajishughulisha na shughuli gn ya kukuingizia kipato.
Je? Umeshajaribu kuwashirikisha ndg zako kabla ya kuja humu?
Pole SanaMambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA,
Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna,
Pia maumivu ya mgongo nakuwa nayaskia sana yani katikati ya mgongo, Sasa nilikuwa naomba udhamini au msaada wa kupata mtu anisimamie kwenye vipimo, labda ultrasound tumboni na dawa ugonjwa ukipatikana,
Siitaji ata mia yake mi nipate vipimo tu vyovyote vile vikiitajika view vikubwa au vidogo , Asanteni sana🙏
Nipo Mara mkuu wilaya ya MusomaHujasema uko mkoa gani na wilaya pia ,iwe rahisi kwa wanaoweza kukusaidia